Monday, 30 January 2017
Sunday, 8 January 2017
STUDIO KALAMU NA ZIARA YA SHEIKH MBARAK AHMED KUTOKA KENYA
"KALAMU STUDIO" Walipata Fursa ay Kushiriki katika Ziara
na Mihadhara Ya Sheikh MBARAK AHMED AWES.
KutokaNchiniKENYA .Alipokuwa jijini Dar es salaam
na Mihadhara Ya Sheikh MBARAK AHMED AWES.
KutokaNchiniKENYA .Alipokuwa jijini Dar es salaam
Mahojiano Mafupi na Sheikh: Mbarak kutoka kwa Timu ya Studio Kalamu
sheikh Mbarak akiwa na masheikh na viongozi wa msikiti wa Jamia.
Baada ya swala ya Adhuhuri ambapo ulifanyika Muhadhara hapo.
sheikh Mbarak(wa pili kutoka kushoto) akiwa nabaadhi ya wadau
akiwemo Rais wa Kalamu foundation( wa kwanza kutoka kulia)
maandalizi kwa ajili ya muhadhara wa Sheikh Mbarak Awes
ndani ya msikiti wa Mtoro kariakoo D.S.M
Sheikh Mbarak akiwasilisha mada yake ya I'SMA YA MTUME (S.A.W)
Kwenye Msikiti wa MTORO
Waumini wakisikiliza kwa umakini Mada ya Sheikh Mbarak Awes
kwenye msikiti wa Mtoro.
Sheikh akisisitiza jambo mbele ya waumini wa msikiti wa Mtoro
Sheikh Mbarak Awes Akiagana na Waumini wa Msikiti wa Mtoro
Baada ya Muhadhara kumalizika
Baada ya hapo Siku Ya IJUMAA YA TAR:30-DEC-2016
.SHEIKH MBARAK AHMED AWES ,Aliripoti katika Msikiti wa Kichangani
kwa ajili ya KUTOA KHUTBA YA AL JUMAA"
Khutba Ya Ijumaa :msikiti wa Kichangani
Waumin wa Msikiti wa Kichangani
Baada ya Swala ya Al jumaa Msikiti wa Kichangani
#BAADA YA KUHITIMISHA SHUGHULI NZIMA YA SWALAT AL JUMAA: PICHA YA PAMOJA BAINA YA VIONGOZI NA MASHEKH WAKIONGOZWA NA IMAMU MKUUWA MSIKITI WA KICHANGANI, SHEIK: WALID wa TATU kutokea upande wa kushoto, WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA SHEKH MUBARAK AHMED AWES waNNE kutokea kushoto, AKIFUATIWA NA MH; JANUARY MAKAMB,
Sunday, 1 January 2017
JICHO LETU STUDIO KALAMU
Shekh:MUBARAK AHMED (Aliyekaa kwenye kiti) akiwa na Rais wa KALAMU EDUCATION FOUNDATION :K.E.F (wa Pili aliyesimama kutoka kusoto ),pamoja na DIRECTA: MUSTAFA (Alliyeshika Kamera) Wakiwa na Timu nzima ya "'KALAMU STUDIO.'
Subscribe to:
Posts (Atom)