Sunday, 8 January 2017

STUDIO KALAMU   NA ZIARA YA SHEIKH MBARAK AHMED KUTOKA KENYA 
 "KALAMU STUDIO"  Walipata Fursa ay Kushiriki katika Ziara 
na Mihadhara Ya Sheikh MBARAK AHMED AWES.  
KutokaNchiniKENYA .Alipokuwa jijini Dar es salaam
Ratiba ya Sheikh:Mbarak Awes ,alipowasili jijini Dar es salaam

Mahojiano Mafupi na Sheikh: Mbarak kutoka kwa Timu ya Studio Kalamu
sheikh Mbarak akiwa na masheikh na viongozi wa msikiti wa Jamia.
Baada ya swala ya Adhuhuri ambapo ulifanyika Muhadhara hapo.
sheikh Mbarak(wa pili kutoka kushoto) akiwa nabaadhi ya wadau 
akiwemo Rais wa Kalamu foundation( wa kwanza kutoka kulia)
maandalizi kwa ajili ya muhadhara wa Sheikh Mbarak Awes  
ndani ya msikiti wa Mtoro kariakoo D.S.M



Sheikh Mbarak akiwasilisha mada yake ya I'SMA YA MTUME (S.A.W)
Kwenye Msikiti wa MTORO 
Waumini wakisikiliza kwa umakini Mada ya Sheikh Mbarak Awes 
kwenye msikiti wa Mtoro.

Sheikh akisisitiza jambo mbele ya waumini wa msikiti wa Mtoro
Sheikh Mbarak Awes Akiagana na Waumini wa Msikiti wa Mtoro
 Baada ya Muhadhara kumalizika 

Baada ya hapo Siku Ya  IJUMAA YA TAR:30-DEC-2016  
.SHEIKH MBARAK AHMED AWES ,Aliripoti katika Msikiti wa Kichangani
kwa ajili ya KUTOA KHUTBA YA  AL JUMAA"
Khutba Ya Ijumaa :msikiti wa Kichangani
Waumin wa Msikiti wa Kichangani

Baada ya Swala ya Al jumaa Msikiti wa Kichangani
#BAADA YA KUHITIMISHA SHUGHULI NZIMA YA SWALAT AL JUMAA: PICHA YA PAMOJA BAINA YA VIONGOZI NA MASHEKH  WAKIONGOZWA NA IMAMU MKUUWA MSIKITI WA KICHANGANI, SHEIK: WALID wa TATU kutokea upande wa kushoto,  WAKIWA  KWENYE PICHA YA PAMOJA NA SHEKH MUBARAK AHMED AWES waNNE kutokea kushoto, AKIFUATIWA NA MHJANUARY MAKAMB,

Sunday, 1 January 2017

JICHO LETU STUDIO KALAMU

Shekh:MUBARAK AHMED  (Aliyekaa kwenye kiti) akiwa na Rais wa KALAMU EDUCATION FOUNDATION :K.E.F  (wa Pili aliyesimama kutoka kusoto ),pamoja na DIRECTA: MUSTAFA (Alliyeshika Kamera) Wakiwa na Timu nzima ya "'KALAMU STUDIO.'